BRAND NEW AUDIO MUSIC || NEDY MUSIC FT MR. BLUE - SI HALALI || DOWNLOAD/LISTEN

Nedy Music ndio underground pekee ambaye anakichafua kinomanoma kwenye TV za kimataifa kama Trace, Sound City na nyinginezo kwa ngoma yake ya “Usiende mbali” ambayo kafanya na Ommy Dimpoz.
Nedy Music ft Mr. Blue - Si Halali
Ngoma hiyo imewahi kushika hadi namba 1 katika chati mbalimbali za muziki za TV hizo. Leo tumeinyaka Audio hii yakwake mpya ambayo kafanya na Mr Blue. Inaitwa “Si Halali” na una kila sababu ya kuisikiliza.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post