ANGALIA HAPA UTOAJI TUZO ZA MTV MAMA 2016 LIVE BILA CHENGA

Katika Kuhakikisha upitwi na Tukio lolote ambalo linatokea katika Tuzo za MTV MAMA jijini Johannesburg South Africa ambapo watanzania na East Africa na Africa kwa Ujumla machoyao leo yapo huko kujua nani na nani wataibuka washindi katika Tuzo hizo kubwa Barani Africa.
Diamond Platnumz
Tanzania Inawakilishwa na Diamond Platnumz na Rayvanny kutoka Label ya WCB pia Vannesa Mdee, Yamotoband na Katika wimbo wa Kushirikishwa yumo Alikiba akiwa kashirikishwa na Sauti Sol kundi la Music kutoka Kenya.

Kwa kukujali Lindiyetu.com Imekuwekea Link ya Moja kwa Moja kushuhudia utoaji tuzo hizo.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post