TAZAMA PICHA YA ZARI AKISHEREHEKEA BIRTHDAY YAKE VISIWANI ZANZIBAR NA FAMILIA YAKE

Zari The Bosslady Birthday Party
Zari The Bosslady amesherehekea siku yake ya kuzaliwa Ijumaa hii akiwa visiwani Zanzibar akiwa na mpenzi wake Diamond na watu wao wa karibu.
Zari The Bosslady Birthday Party
Sherehe hiyo ilihudhuriwa Mose Iyobo, Aunty Ezekiel, na watu wengine wa karibu wa familia hiyo.
Zari The Bosslady Birthday Party
Kwenye sherehe hiyo pia waliongozana na mtoto wao Princes Tiffah.
Zari The Bosslady Birthday Party

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post