MAN FONGO AWAMWAGA RADHI SHABIKI ZAKE DARLIVE, CHEKI VIDEO HII HAPA (+18 AGE)

Man fongo Awamwaga Radhi
Msanii wa muziki wa aina ya Kisingeri mzee wa hainaga Ushemeji Tuna kulaga Man Fongo ameweza kuwakongo mioyo mashabiki zake katika Usiku wa Nishike uliofanyika katika Ukumbi wa DARLIVE Mbagala Jijini Dar es Salaam.

Sitaki nikumalizie Uhondo Hebu Tizama mwenyewe hii video hapa chini kisha Utaniambia nini Kilihapeni katika Usiku huo.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post