BRAND NEW VIDEO MUSIC || KING CRAZY GK - MZURI PESA || WATCH & DOWNLOAD

King Crazy GK - Mzuri Pesa
Mfalme GK kutokea pande za East Coast ya DSM  kadondosha sukari mpya "Mzuri Pesa". Audio hiyo imetengenezwa na Producer Aloneym.
 Kuitazama Video hiyo iliyofanywa na SISI WASWAHILI Bofya Play Kisha toa maoni yako.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post