

Msweden huyo alifunga goli la kwanza baada ya kupokea krosi maridhawa iliyochongwa kutoka upande wa kulia na Wayne Rooney mnamo dakika ya 36 ya kipindi cha kwanza.

Dakika ya 52, Zlatan alifunga bao la pili kwa njia ya penati baada ya beki wa kushoto wa Man United Luke Shaw kufanyiwa madhambi na Jordy Clasie.
Paul Pogba, ambaye amesajiliwa kwa paundi mil 89 kutoka Juventus kwa mara ya kwanza leo ameichezea klabu hiyo na kuonesha uwezo mkubwa sana.
Paul Pogba, ambaye amesajiliwa kwa paundi mil 89 kutoka Juventus kwa mara ya kwanza leo ameichezea klabu hiyo na kuonesha uwezo mkubwa sana.

NDONDOO MUHIMU:
SOUTHAMPTON (4-3-1-2): Forster, Soares, Van Dijk, Fonte, Targett, Hojberg, Romeu (Clasie 12,), Davis (Austin 67,), Tadic, Long (Rodriguez), Redmond.
Subs not used: Yoshida, McCarthy, Ward-Prowse, Pied.
Referee: Anthony Taylor 7
- Zlatan Ibrahimovic amefunga magoli 13 kwenye michezo 8 iliyopita ya ligi dhidi ya timu zilizofundishwa na Claude Puel – akifanya hivyo pia wakati akiwa Paris St-Germain dhidi ya Nice.
- Magoli matatu kati ya sita ya Zlatan amefunga kwa njia ya kichwa.
- Manchester United hawajapoteza mchezo wowote wa ligi ambao wameongoza mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika tangu Mei mwaka 1984.
- Paul Pogba leo amecheza kwa mara ya kwanza kama mchezaji wa Manchester United tangu March 18 mwaka 2012, sawa na siku 1,616 zilizopita.
- Wayne Rooney amecheza mchezo wake wa 600 kwenye mechi ya leo (michezo 523 akiwa na Man United na 77 akiwa na Everton).
- Manchester United hawajapoteza mchezo wowote waliocheza Ijumaa tangu mara ya mwisho walivyofungwa 2-0 na mwaka 1950 Birmingham. Wameshinda mara 14 na kutoka sare mara sita.
Vikosi, Manchester United: (4-2-3-1):
De Gea, Valencia, Bailly, Blind, Shaw, Pogba, Fellaini, Mata (Mkhitaryan 76,), Rooney (Smalling 89), Martial, (Herrera) Ibrahimovic.
Subs not used: Young, Rashford, Romero, SchneiderlinSubs not used: Yoshida, McCarthy, Ward-Prowse, Pied.
Referee: Anthony Taylor 7
RATIBA YA LIGI KUU UINGEREZA WIKIENDI HII
All times are in East Africa Time
MSIMAMO WA LIGI YA UINGEREZA
| POS | LOGO &TEAM | P | W | D | L | GD | PTS |
|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 2 | 2 | 0 | 0 | 4 | 6 | |
| 2 | 1 | 1 | 0 | 0 | 1 | 3 | |
| 3 | 1 | 1 | 0 | 0 | 1 | 3 | |
| 4 | 1 | 1 | 0 | 0 | 1 | 3 | |
| 5 | 1 | 1 | 0 | 0 | 1 | 3 | |
| 6 | 1 | 1 | 0 | 0 | 1 | 3 | |
| 7 | 1 | 1 | 0 | 0 | 1 | 3 | |
| 8 | 1 | 0 | 1 | 0 | 0 | 1 | |
| 9 | 1 | 0 | 1 | 0 | 0 | 1 | |
| 10 | 1 | 0 | 1 | 0 | 0 | 1 | |
| 11 | 1 | 0 | 1 | 0 | 0 | 1 | |
| 12 | 1 | 0 | 1 | 0 | 0 | 1 | |
| 13 | 2 | 0 | 1 | 1 | -2 | 1 | |
| 14 | 1 | 0 | 0 | 1 | -1 | 0 | |
| 15 | 1 | 0 | 0 | 1 | -1 | 0 | |
| 16 | 1 | 0 | 0 | 1 | -1 | 0 | |
| 17 | 1 | 0 | 0 | 1 | -1 | 0 | |
| 18 | 1 | 0 | 0 | 1 | -1 | 0 | |
| 19 | 1 | 0 | 0 | 1 | -1 | 0 | |
| 20 | 1 | 0 | 0 | 1 | -2 | 0 |
Tags
SPORTS NEWS









