WEMA SEPETU AMLILIA IDRIS, AYANENA HAYA

Mapenzi ya Wema Sepetu na Idris Sultan bado yana nguvu hata baada ya misuko suko ya hapa na pale kuhusu kuachana na kurudiana kwao.
Wema Sepetu
Kwenye Instagram ya Wema leo August 21 2016, ujumbe kuhusu Idris umewekwa na mwana dada huyu.

Wema Sepetu aliandika 
“That moment you realise how much u miss a special someone… Rudi basi… hata kidogo tu… ????”
Ujumbe huu uliambatana na picha ya kichwa cha Idris.
post

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post