VIDEO: WATEJA WA VODACOM WAIFURAHIA OFA YA "YAKWAKO2"
byNIJUZE-
0
Ikiwa ni wiki tatu toka mtandao wa Vodacom nchini uzindue ofa ya Yakwako2, wateja wa mtandao huo wameonyesha kufurahishwa na huduma hiyo. Wakizungumza wateja hao kutoka maeneo tofauti tofauti ya Dar es Salaam, waliipongeza huduma hiyo kwa kuwapa nafasi ya kuchagua vifurushi wavitakavyo.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...