
Shaka Hamdu Shaka Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
Na. Mwandishi Wetu, Dar es salaam.
Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikitarajia kufanya maandamano na mikutano ya hadhara nchini nzima kuanzia tarehe 1 septemba mwaka huu , kwa kile wanachodai kupinga vitendo vya ukandamizaji wa vyama vya upinzani vinavyofanywa na Rais John Magufuli.Ambapo Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Umetangaza kufanya maandaamano nchini nzima siku ya tarehe 31 ya mwezi huu kwa ajili ya kumpongeza Rais Magufuli kwa kile wanachokisema hatua “anazochukua Rais huyo kuinua uchumi”.

Tags
HABARI ZA KITAIFA