ROBIN VAN PERSIE USO KWA USO NA MANCHESTER UNITED HUKU SAMATTA AKIKUTANA NA KIGOGO HUYU WA HISPANIA EUROPA

Europa
Na. Mwandishi Wetu.
Michuano ya Ligi ya Europa inatarajiwa kuanza Septemba 15 mwaka huu, huku timu ya Mbwana Samatta, KRC Genk ikipangwa kundi F pamoja na timu za Athletic Bilbao, Rapid Wien na Sassuolo.

Wakati huo huo mchezaji wa Fenerbahce ya Uturuki, Robin Van Persie anatarajiwa kukutana na timu yake ya zamani ya Manchester United zilizopangwa kundi moja kwenye michuano hiyo.
Europa Draw

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post