Rapper Drake na staa wa R&B, Rihanna July 31 walifanya show kali kwenye ziara za Drake za OVO katika ukumbi wa Air Canada.
Mashabiki wao walikuwa wakiwashangilia muda wote na kuwafanya walio wengi kuamini kuwa wawili hawa ni wapenzi kweli.
Ukaribu waliouonyesha wakati wanaimba nyimbo zao “Work” na “Too Good” ndio ulikuwa unathibitisha kuwa wawili hao tayari wamerudiana na mapenzi yao kwa sasa ni moto moto.
Tazama video za show yao hapo chini.

Tags
HABARI ZA WASANII