NIJUZE NIJUZE Author
Title: WEMA SEPETU NA OMMY DIMPOZ MAMBO NG'ARI NG'ARI WAPIGANA MABUSU NJE NJE, CHEKI VIDEO HII HAPA
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya Kuwepo kwa Tetesi ya kuwepo uhusiano wa chini kwa chini wa kimapenzi kati ya Msanii wa Filamu nchini Wema Sepetu na Msanii wa ...
Wema Sepetu na Ommy Dimpoz
Baada ya Kuwepo kwa Tetesi ya kuwepo uhusiano wa chini kwa chini wa kimapenzi kati ya Msanii wa Filamu nchini Wema Sepetu na Msanii wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz tangu Ommy Dimpoz amshirikishe Mwana dada huyo katika video ya wimbo wake ijulikanayo kama Ndangushima Pamekuwepo na Sinto fahamu kwa wawili hao kwani Kuna kila dalili ya wawili hao kuwepo kwenye uhusiano wa Siri.

Japo kuwa wenyewe hawajathibitisha lakuwepo kwa Uhusiano huo lakini ushahidi wa kimazingira unaonyesha kuna jambo kwani kumekuwa na Picha tata zinazovuja mtandaoni zikiwaonyesha wakiwa katika Mapozi tata.

Wema Sepetu na Ommy Dimpoz
Hivi sasa Imevunja video hii wakionekana kupakatana pamoja na Kukiss na Ommy Dimpoz akisikika akisema kuwa "Hatua Achani ng'ooo"

Hebu Shuhudia mwenyewe hapa Chini.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top