NIJUZE NIJUZE Author
Title: WAZIRI KIGWANGALA KAYAJIBU MASWALI HAYA BUNGENI LEO, KELELE ZASIKIKA BAADA YA MAJIBU (+Audio)
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
Mei 4 2016 Bunge limeendelea Dodoma ikiwa ni mkutano wa tatu, kikao cha kumi na mbili ambapo katika kipindi cha maswali na majibu Naibu ...
Mei 4 2016 Bunge limeendelea Dodoma ikiwa ni mkutano wa tatu, kikao cha kumi na mbili ambapo katika kipindi cha maswali na majibu Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Hamisi Kigwangalla alikuwa akijibu maswali ya wabunge.
Bungeni Dodoma
Baadhi ya maswali ni pamoja na Mbunge Mgeni Jadi Kadika viti maalum aliyeuliza..
"Ugonjwa wa Myoma ni moja kati ya matatizo makubwa yanayoathiri akina mama kuzuia uzazi na kusababisha kansa ya kizazi pamoja na kupoteza maisha."

Katika moja ya swali la nyongeza aliloulizwa lilitoka kwa Mbunge wa Kaliua Magdalena Sekaya ambaye aliuliza..
"Tunalotatizo kubwa sana la uzazi Tanzania, ndoa nyingi zinavunjika kwasababu wakinamama wanashindwa kupata mimba, Je, Naibu Waziri haoni kama ugonjwa wa Fibroid ni tatizo kubwa? "

Hapa Naibu Waziri Kigwangalla kayajibu maswali yote ambapo baadae baadhi ya Wabunge wakaanza kupiga kelele..

About Author

Advertisement

 
Top