PICHA:: KABURI ATAKALOZIKWA PAPA WEMBA HILI HAPA

Papa Wemba Tribute
Asubuhi ya Jumapili April 24 2016 ndio zilianza kusambaa taarifa za kifo cha mwimbaji Mkongwe kutoka Congo DRC aitwae Papa Wemba ambaye imeripotiwa amefariki baada ya kuanguka jukwaani akiwa anatumbuiza huko Ivory Coast.

Leo Mei 4 2016 Nimepata Picha ya Kaburi atakalozikwa Papa Wemba.
Previous Post Next Post