
Wabunge wafuatao tunajadiliwa kusimamishwa kazi za Bunge kwa vipindi tofauti tofauti. Wabunge hao ni Tundu... https://t.co/SdBO3zyi1P— Zitto Kabwe Ruyagwa (@zittokabwe) May 30, 2016
Tundu Lissu, Godbless Lema, Halima Mdee, Esther Bulaya and John Heche also debated to be suspended for different times— Zitto Kabwe Ruyagwa (@zittokabwe) May 30, 2016
Wabunge wote wa Upinzani wamepewa onyo kali kwa kung'ang'ania kutaka Bunge lionyeshwe moja kwa moja na Shirika la TBC— Zitto Kabwe Ruyagwa (@zittokabwe) May 30, 2016
Tundu Lissu na Esther Bulaya wanasimamishwa kwa mikutano 2 ya Bunge ( yaani wasiingie Bungeni mpaka mwaka 2017)— Zitto Kabwe Ruyagwa (@zittokabwe) May 30, 2016
Mimi na Halima tunasimamishwa shughuli za Bunge mpaka mwezi Septemba— Zitto Kabwe Ruyagwa (@zittokabwe) May 30, 2016
Mbunge Msukuma " hili ni fundisho kwa wabunge wengine". Huyu ni Mbunge ambaye alitaka Bangi iruhusiwe kulimwa— Zitto Kabwe Ruyagwa (@zittokabwe) May 30, 2016
Ridhiwani Kikwete " lazima ifike sehemu adabu itawale Bungeni. Hawa wabunge wamepewa kitu wanachostahili. Kanuni... https://t.co/KVaPCjMKEZ— Zitto Kabwe Ruyagwa (@zittokabwe) May 30, 2016
Kigwangalla: " anataka wabunge wasiadhibiwe zaidi ya vikao 10"— Zitto Kabwe Ruyagwa (@zittokabwe) May 30, 2016
Goodluck Mlinga ( aliyetaka sanamu la Askari pawekwe mdogo wangu Diamond) : " tunajenga heshima ya Bunge. Iwe fundisho. Naunga mkono hoja."— Zitto Kabwe Ruyagwa (@zittokabwe) May 30, 2016
I dedicate this to my friend Deo Haule Filikunjombe. It is his victory and I won't celebrate this as to me the election became meaningless— Zitto Kabwe Ruyagwa (@zittokabwe) October 25, 2015
Tags
HABARI ZA KITAIFA