SABABU ZA ZITTO KUJIUZULU UJUMBE KWENYE KAMATI YAKE YA BUNGE

Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa chama cha ACT-WazalendoZito Kabwe ameishtumu Kamati ya Huduma za Jamii anayohudumu kuwa kuna baadhi ya Wajumbe wamepokea rushwa.

Kutokana na shtuma hizo ameamua kumuandikia spika barua ya kujiuzulu na kumtaka achunguze na kuchukua hatua.

Hii ni nakala ya barua yake aliyomwandikia spika wa bunge
barua
Previous Post Next Post