
March 7 2016 Lulu amewajulisha Watanzania kwamba anarudi nyumbani siku ya March 8 2016 na atatua uwanja wa ndege Dar es salaam na akayaandika haya ‘Tukijaaliwa uzima…kesho saa 8:30 (saa nane na nusu Mchana) nitaingia uwanja wa ndege Dar Es Salaam na mzigo wenu
au acha niseme Tuzo Yenu..!!

Can’t wait to see y’all
(I’m hungry and I’m ready 4 change….TODAY
)
au acha niseme Tuzo Yenu..!!

Can’t wait to see y’all
(I’m hungry and I’m ready 4 change….TODAY
)
Tags
HABARI ZA WASANII