Mamia ya wafuasi wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe leo, Machi 14, 2016 walifurika katika mahakama kuu jijini Mwanza katika kesi ya mbunge wa zamani wa Nyamagana, Ezekiel Wenje (CHADEMA) anayepinga matokeo ya Stanslaus Mabula (CCM).
Polisi wametumia nguvu ya ziada kuhakikisha ulinzi unaimarika mahakamani hapo.



Tags
HABARI ZA KITAIFA