Tyrese ni miongoni mwa wamarekani weusi wenye ushawishi nchini humo – hasa kwa ubishi wake kwenye mitandao ya kijamii na jinsi anavyopromote kazi zake.

Hivyo kupewa shavu la walau picha yako kuwekwa kwenye ukurasa wake wa Instagram wenye followers zaidi ya milioni 6.3, si kitu cha mzaha.
Picha ya mrembo wa Tanzania, Jokate Mwegelo imepata baraka zake (walau kwa muda tu) na kuwekwa kwenye ukurasa wa muigizaji huyo wa Fast and Furious wakati akipromote filamu yake fupi iitwayo ‘The Black Book.’

Akiweka picha ya Jokate, Tyrese aliandika:
“I have movie studio looking at your comments!! #TheBlackBook has been unleashed… Go NOW!! Please? Click the link in my bio and watch the movie write your DETAILED comments below!!!!! #HappyEaster beautiful people around the world.”

Bahati mbaya aliifuta picha hiyo muda mfupi baada ya kuiweka.
Tags
HABARI ZA WASANII