BAADA YA RICH MAVOKO, AY NAYE ATHIBITISHA KUUNGANA NA WCB

Ambwene Yessaya
Siku chahe baada ya Rich Mavoko kusaini na mkataba wa chini ya lebo ya WCB, leo msanii Ambwene Yessaya (AY) ameposti picha ambayo inamuonesha akiwa na meneja wa lebo ya WCB Sallam iliyokuwa na ujumbe wa unaothibitisha kuwa kwa sasa msanii huyo yupo chini ya Lebo ya WCB.
Ambwene Yessaya
Previous Post Next Post