SNURA MUSHI (MAMAA MAJANGA) AJA NA KISINGERI FLAN AMAIZING..."CHURA" KIPAKUE HAPA UBURUDIKE

Snura-Chura
Msanii Snura ameachia wimbo mpya unaitwa “Chura” hii ni ngoma ambayo ipo kwenye baadhi ya kisingeli mziki ambao unapendwa sana uswahili. Producer Aby Dady.
Previous Post Next Post