
Mpya mjini hapa leo ni habari ya Mkongo ajulikanae kama Apocalypse na Wema Sepetu, Wawili hawa inasemekana wako pamoja kimapenzi kiasi cha kupiga picha na video na kuziweka mitandaoni huko Instagram na Snapchat...
Tetesi hizi zinasema kwa sasa Idriss Sultan hana chake baada ya mimba kutoka, mkongo huyo inasemekana ana mavumba ya kutosha na alishawahi kutoka na mrembo Huddah Monroe wa Kenya.....

Toka habari za mimba kutoka Idriss Sultan ama Wema Sepetu hawajawahi kuweka picha zao kwenye page ya Instagram kama walivyokuwa wanafanya zamani kitu ambacho kinaongeza tetesi za kuachana kwao....
Leo Idris amempost demu mwingine ambani ni rafiki yake kwa kile kinachoonyesha kama kupoza machungu ya Wema na Mkongo kupost ma video yao.....

Huyu Ndio Mukongo Anayesemekana kuwa yupo na Wema Sepetu Kwa Sasa, Hapo akiwa katika Hotel ya Hyatt Regency baada ya kuwasili jana...
BAADA YA TETESI HIZI TEAM WEMA WAJA JUU...
adelah_nkubah yaani kamani kweli yanayosemwa..moyo utaniuma sana..tunajua ni maisha yako Wema lakini lazima uangalie ma jamii inayokuzunguka.One Love..tutaficha wapi sisi sura zetu tulivyokuwa tunakutetea..Utap[oteza mashabiki sana..na nasikis a yule mkongo sio mtu mzuri...anyways..yote kwa yote mwenye maamuzi ya mwisho ni wewe mwenyewe...kwa sisi mashabiki wako tunapenda uendelee kuwa na Idriss...Dah nilifurahi sana maana nilijua finally furaha imekurudia tena..lakini sasa mweh..haya bana..kama ni kweli tumeumia..kama sio kweli basi good 4 you and us ur fans..@wemasepetu
mona_mdeeWema hizi skendo za mkongo km nikwel utakuwa unatukosea timu yko tunakupenda mno plz usiwe hvyo me had nmekosa raha jaman naomba hata icwe kwel😢
hafserrajerDah! Nmeumia na mambo anayofanya jaman, dah! Mbona uko hivo lakin?? Una tatzo gani??
Ni tetesi tu......
Tags
WATU MAARUFU