
Msami amefunguka kuwa muvi hiyo iliyofanyika Afrika kusini inashindikana kutoka kwa sababu ya kutokuwepo na maelewano mazuri kati ya Irene Uwoya na John Kalage ambaye ndiye director wa muvi hiyo.

“Kuna matatizo katikati hapa kati ya director na Uwoya,director ndiye anasabisha muvi isitoke .Kiukweli mimi mwenyewe nimekuwa disappointed kwa kuwa nahisi nimepoteza muda wangu bure" alifunguka Msami na kusema kuwa imekuwa kawaida watu kugombana na Kalage na hajui tatizo ni nini?
Tags
HABARI ZA WASANII