JOKATE NA ALIKIBA PENZI LAZIDI KUPAMBA MOTO, ANGALIA HAPA PICHA ZAO ZA KIMAHABA

Penzi la Jokate Mwegelo na Alikiba linazidi kupamba moto.
Jokate Mwegelo na Alikiba
Wawili hao wanaonekana kuanza kukubaliana na ukweli kuwa hawawezi tena kuyaficha mahaba yao kiasi cha kuanza kufanya photoshoot za pamoja za mradi ambao bado haujajulikana ni wa nini.
Weekend iliyopita, picha yao inayowaonesha wakiwa wamezama kwenye dimbwi la mahaba, ilisambaa mtandaoni huku Jokate akiiweka pia kwenye Instagram.
Previous Post Next Post