Mshambuliaji MSWEDEN wa timu ya PARIS ST- GERMAIN ya UFARANSA ZLATAN IBRAHIMOVIC amejigamba kuwa magoli yake aliyoifungia timu hiyo imesaidia kuiweka UFARANSA kwenye ramani ya soka.
Pamoja na kufunga magoli hayo kwa klabu yake pia IBRAHIMOVIC ameifungia timu yake ya TAIFA ya SWEDEN magoli 59 kwenye michezo 109 aliyoichezea na kusema anajisikia fahari sana kwa hilo.
Mwisho kabisa mshambuliaji huyo akasema atapenda kucheza michuano ya mataifa ya ULAYA hapo mwakani itakayofanyika nchini UFARANSA kama timu yake itafanikiwa kuitoa DENMARK kwenye mchezo wa hatua ya mtoano na kufuzu kwa michuano hiyo ya EURO 2016
ZLATAN IBRAHIMOVIC
UFARANSA ilishinda kombe la DUNIA mwaka 1998 na IBRAHIMOVIC anajigamba kwa kusema anaamini magoli yake 115 aliyofunga yameisaidia kupasha ubora wa soka wa nchi hiyo.Pamoja na kufunga magoli hayo kwa klabu yake pia IBRAHIMOVIC ameifungia timu yake ya TAIFA ya SWEDEN magoli 59 kwenye michezo 109 aliyoichezea na kusema anajisikia fahari sana kwa hilo.