LWAKATARE AMEACHIWA KWA DHAMANA YA MILIONI 10

clip_image001Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilfred Muganyizi Lwakatare ameachiwa kwa dhamana ya shilingi milioni 10 leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar.

Lwakatare anakabiliwa na kesi ya kujaribu kumwekea sumu Dennis Msaki. Waliomuwekea dhamana Lwakatare ni madiwani wawili wa Chadema kutoka kata ya Kimara na Sinza.

Madiwani hao wametakiwa kuhudhuria mahakamani kila kesi hiyo itakapotajwa.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post