Jina la Nasib Abdul bado halijatoka kichwani mwa Wema Sepetu!
Miss Tanzania huyo wa mwaka 2006 na muigizaji wa filamu alikuwa akijibu swali kwenye kipindi cha Radio moja hapa nchini jijini Mwanza alipoulizwa ni mwanaume gani ambaye alitamani awe mume wake wa ndoa.
“Ni yupi ambaye niliwahi kusema huyu anaweza kuwa wa maisha,” alisema Wema.“Kiukweli alikuwa anaitwa Nasib Abdul, nilishawahi kusema hivyo,” alisisitiza.
Nasib Abdul ni jina halisi la Diamond Platnumz.
Miss Tanzania huyo wa mwaka 2006 na muigizaji wa filamu alikuwa akijibu swali kwenye kipindi cha Radio moja hapa nchini jijini Mwanza alipoulizwa ni mwanaume gani ambaye alitamani awe mume wake wa ndoa.
“Ni yupi ambaye niliwahi kusema huyu anaweza kuwa wa maisha,” alisema Wema.“Kiukweli alikuwa anaitwa Nasib Abdul, nilishawahi kusema hivyo,” alisisitiza.
Hata hivyo ndoto hiyo iliyeyuka baada ya wawili hao kuachana mwaka jana na Diamond kuhamisha mahaba yake kwa Zari the Bosslady ambaye tayari wana mtoto wa kike, Tiffah.