SIKU MBILI ZA KIHISTORIA NCHINI TANZANIA...LEO IKIWA NI SIKU YA MWISHO YA KAZI YA RAIS JK NA KESHO NI SIKU YA KWANZA YA KAZI KWA JPM

Jakaya Mrisho Kikwete
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifanya kazi ofisini kwake Ikulu jijini Dar es salaam kwa mmara ya mwisho leo Novemba 4, 2015 kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais wa awamu ya Tano anayetarajiwa kuapishwa kesho Dkt John Pombe Joseph Magufuli
JK
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoka ofisini kwake Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kufanya kazi katika siku ya mwisho leo Novemba 4, 2015 kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais wa awamu ya Tano anayetarajiwa kuapishwa kesho Dkt John Pombe Joseph Maguful.
Previous Post Next Post