Ndugu Abdillah Rashidi Kindalla Mkazi wa Mitwero Lindi anapenda Kuomba Ushirikiano wako Mkazi wa Lindi au Nje ya Lindi.
Amepotelewa na Mfanyakazi wake ambaye anatambulika kwa Jina la ABDALLAH HAMISI JUMA AU KADAYA mwenye umri wa Miaka 19 Kabila lake ni MMWELA ambaye ametoka bila ya Kuaga Nyumbani kwake na kwenda Kusiko Julikana..
Kijana huyo kwa Mara ya mwisho alioneka maeneo ya KIRANJERANJE STENDI.
Hivyo kama Unataarifa yoyote ya Kijana Huyu tafadhali wasiliana na Kituo cha Polisi cha Mkoa wa Lindi kwa Namba ya Simu 0713264471 au Namba 0757908268 namba ya Mtoto wa Bosi.
NAOMBA USHIRIKIANO WANANCHI WENZANGU