NIJUZE NIJUZE Author
Title: MPEZI WA SOKA NIMEKUWEKEA RATIBA YA LIGI YA MABINGWA MECHI ZITAKAZOCHEZWA LEO HII
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
Ligi ya Mabingwa Ulaya itaendelea usiku wa Jumanne katika viwanja mbalimbali barani Ulaya. Baadhi ya mechi ambazo zinatazamiwa kupewa uzi...
Ligi ya Mabingwa Ulaya
Ligi ya Mabingwa Ulaya itaendelea usiku wa Jumanne katika viwanja mbalimbali barani Ulaya. Baadhi ya mechi ambazo zinatazamiwa kupewa uzito wa Kipekee ni Mechi ya Real Madrid ambayo itaikaribisha Paris Saint-Germain katika dimba la Santiago Bernabeu, huku Man United ikiwa Old Trafford kumenyana na CSKA Moscow.

Mechi za leo Jumanne

Real Madrid Vs Paris St G 21:45
Man Utd Vs CSKA 21:45
Sevilla Vs Man City 21:45
Shakt Donsk Vs Malmö FF 21:45
PSV Eindhoven Vs VfL Wolfsburg 21:45
FC Astana Vs Atl Madrid 17:00
Benfica Vs Galatasaray 21:45
B M’gladbach Vs Juventus 21:45

Muda huu ni kwa saa za Afrika Mashariki

About Author

Advertisement

 
Top