
Ndege hiyo aina ya A380 ina madaraja mawili tu biashara na uchumi
Shirika la ndege la Emirates limezindua ndege aina ya Airbus A380, likiwa na madaraja mawili- la biashara na uchumi, hakuna daraja la kwanza. Ndege hiyo la kifahari imeongezwa siti 130.

Daraja la biashara

Viti hivyo vina vitanda

Sehemu ya vinywaji kwa abiria wa daraja la biashara

Ndege hiyo A380 ikipaa kutoka Uwanja wa Hamburg, Ujerumani
Tags
HABARI KIMATAIFA