Unknown Unknown Author
Title: SIMULIZI: “PLAY BOY” SEHEMU YA KUMI NA MBILI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Simulizi: Play Boy (Jeff wakujidai) Sehemu: 12 Mtunzi: Andrew Carlos Simu: 0713 133 633 Ilipoishia jana.. Kama kawaida yangu niliweka nyimb...

clip_image002Simulizi: Play Boy (Jeff wakujidai)
Sehemu: 12
Mtunzi: Andrew Carlos
Simu: 0713 133 633

Ilipoishia jana..
Kama kawaida yangu niliweka nyimbo laini, lakini haikupita muda simu yangu ikaingia meseji kucheki inapotoka alikuwa ni Irene nikaifungua nakuisoma,
"..UNANITAMANISHA NA HIZO NYIMBO..? NA LEO USIKU SI UTANIPA TENA JAMANI..."
Sikuwa na pesa kwenye simu hivyo sikumjibu..
Ndani ya dakika chache nikatumiwa tena meseji kuangalia alikuwa huyo huyo Irene,
"...MBONA HUNIJIBU JEFF MPENZI..? HAMU HAIJAISHA MWENZAKO.."
Ikanibidi nikope tiGo kisha nikamrudishia majibu...
"...Leo zamu ya mchumba wangu Jacky.."
Kisha nikamtumia..
Songa nayo sasa…
Kama kawaida ya huu mkoa wa Moro, ilipofika usiku baridi kali lilinishika nakujikuta nikijikunyata pale sebuleni peke yangu,
Jacky alikuwa ameelekea kulala na Irene alikuwa bafuni anaoga.
'..This is my last breath..(nitakufa nawe Joy..)'
Ndio jina la muvi niliyokuwa nikiangalia ambayo 'director' na mtunzi alikuwa ni Andy Fay.
Kila nilipokuwa nikiangalia ndivyo nilivyokuwa nikitamani kujua mwisho wake..
Nilijikuta naipenda sana kwani 'stering' alikuwa ni Adrian ambaye alikuwa akinyanyasika sana na mapenzi mpaka akajiona hana thamani tena duniani.
Ndipo akaamua kuwa malaya mpaka alipofanyiwa mtego nakujikuta anatembea na mke wa mtu anayeitwa Joy, huyo mke akafanya kila njia akamuua mumewe ili apate mapenzi ya dhati kwa Adriani..
'Watch out part 2..'
Kumbe ile muvi ilikuwa na part 2, niliitafuta pale sebuleni lakini sikuiona, akili ikanituma nimtumie meseji Irene atakuwa anajua ilipo, nilimtumia lakini sikupata jibu lolote,
"...dah huyu andy fay kwa kutunga tu nampa big up, embu ona mpaka sasa natamani kujua tu mwisho wa hii muvi.."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikigonga mlango wa Irene ili nimuulize.
Nilipiga hodi muda mrefu bila majibu, nikajaribu kuufungua mlango wake ukafunguka.
Taa yake ilikuwa haijazimwa na alikuwa kapitiwa na usingizi huku akiwa uchi wa mnyama na mapaja yake kayatanua...
Kabla sijamuamsha niliangaza kwanza pembeni kwenye kabati lake la kuwekea vipodozi nikidhani labda huenda alijisahau nakuiweka hapo.
Nilitoa macho lakini sikuambulia kitu, nilimfuata mpaka pale kitandani nakuanza kumuamsha..
"...Irene..? Irene..? Amka.."
Alishtuka akiwa hajielewi elewi kwani ni kweli alikuwa kapitiwa na usingizi sana..
"..Jeff..? Ndio umekuja..?"
"..skiliza nikwambie Irene.. Nimekuja kuchukuwa part 2 ya ile muvi niliokuwa naangalia.."
"..nimeshasahau kwani ni muvi gani ulikuwa unaangalia.."
"..inaitwa 'My last breath..'"
"...Jeff..? Ile part 2 yake ipo, lakini njoo hapa kitandani kwanza unipe mapen..."
"...whaaat...? Sijaja hapa kufanya mapenzi Irene..."
Kwa hasira nikageuza pale pale nakuondoka zangu, nilipofungua tu mlango, Irene aliniwahi kwa kunishika tisheti yangu..
"...Jeff unakwenda wapi sasa..? Ngoja nikupe hiyo cd unayoitaka.."
Nilibaki pale nje ya mlango wake nikimshangaa, alirudi chumbani mwake na kisha akaniletea hiyo cd. Safari hii alikuwa amevaa kanga moja tu..
"..Jeff cd hii hapa lakini twende tukaangalie wote kwani hata na mie nilikuwa sijaiona hii part 2 si unajua tena cd yenyewe nimekodisha jana tu.."
Niliongozana naye mpaka sebuleni akaiweka kisha akaja kukaa namimi kochi moja..
Muvi ilikuwa nzuri sana haswa alinikuna Adrian kwenye hii part 2 ambapo aliuonesha uhalisia haswa, alikubali kuteseka kimapenzi kisa yule mke wa mtu, kunakipindi ilifikia akawekwa rumande na ndugu wa yule mama, lakini bado ilikuwa vita vikali kwani yule mama alikuwa ni mtetezi wa Adrian kwa kila kitu alikuwa akimtoa.
Muda wote Irene na yeye alikuwa kimya tukitizama na muvi ilipofika katikati haswa zile sehemu za mapenzi mapenzi Irene uzalendo ukawa unamshindwa nakuanza kuchukuwa mkono wangu mpaka kifuani kwake nakuishikanisha chuchu zake, sikupata hata hisia zaidi yakuendelea kucheki muvi.
Mara mlango wa chumbani kwangu ukafungulia kisha Jacky akatoka, haraka haraka Irene akatoa mkono wake kwangu,
"..ehh bado hamjalala tu..?"
Aliongea Jacky huku akielekea chooni na alipotoka tu huko akaunganisha moja kwa moja mpaka sebuleni akakaa kochi jingine, tukawa wote tunaangalia muvi.
Irene alinifanyia sana vituko mpaka kidogo Jacky ashtuke nilichokifanya nikutoka pale kwenye kochi nakuamia chini kabisa huku kisingizio kikubwa ikiwa ni utamu wa muvi.
Irene alichukia nakuondoka zake,
"..jamani usiku mwema, naona usingizi unaninyemelea tena.."
"..haya mwaya tutaonana kesho.."
Jacky alimjibu.
Muvi ilizidi kunoga zaidi kwani yule mke wa mtu aliyekuwa anatembea na Adrian kwa sasa alikuwa hoi kitandani huku dokta akimuweka wazi Adrian kuwa yule mama ana kansa ya maziwa, Adrian hakuafikiana na hilo kabisa lakini baadaye kabisa ilibidi akubaliane na ukweli ambapo yule mama alikatwa maziwa yake yote.
Baada ya wiki kama tatu yule mama akaruhusiwa,
Sasa Adrian akawa ni mtu wa kulewa yeye na wasichana muda wote..
Tukiwa sebuleni na Jacky wangu tena tumenogewa na hiyo muvi, mara umeme ukakatika ghafla..
"..oooohhshh.."
Nilijikuta mimi na Jacky wangu tukilaumu umeme ukikatika,
"..au itakuwa Luku..?"
Kwa jinsi muvi ilipokatikia pale sikutaka kuamini kabisa,
"..we Jacky kalale tu kama unajisikia usingizi, mie hapa mpaka nihakikishe umeme unarudi.."
"..haya bwana, mie natangulia kulala najua tu nitaimalizia kesho.."
Niliendelea kuusubiri umeme kama dakika 20 zilipita ndipo umeme ukarudi.
Furaha kubwa ilinijaa moyoni kwani hakuna muvi ya kibongo iliyonivutia kama hii.
Nikaenda mpaka kwenye tv nakuiwasha pamoja na deki yake, ile nakaa vizuri nianze kuiangalia, mara Irene akatokea tena,
"..Jeff, nimefanya kila njia yakumuondoa Jacky.."
"..njia..? Njia gani..?"
"..Jeff nilizima umeme makusudi nakuurudisha kule jikoni kwenye 'main switch'.."
"..Irene huogopi umeme..?"
"..Nitaogopaje wakati mwenzio nina hamu na wewe na ndio nimekuja hivyo.."
"..kwa hilo umechemsha labda siku nyingine.."
"..Jeff unaniambiaje..?"
Pale pale nikamshuhudia Irene akivua ile kanga yake moja nakubaki mtupu huku akitaka kunikumbatia..
"..haya amua moja, unanipa au nipige kelele unataka unibake kisha nikutimue kabisa kwangu..?"
Mwili wangu wote ulikuwa ukinitetemeka huku nguvu zikiniisha hata na ile hamu yakuendelea kuangalia tena ile muvi ilikatika pale pale..
"..lakini Irene, si unajua Jacky wangu yupo chumbani akitokea ghafla..?"
"...haya basi, twende tukafanyie chumbani kwangu.."
"..ahaa ahaa huko ndio kabisaa atatufumania..."
Irene alizidi kupagawa nilivyokuwa namjibu alichokifanya alinishika mkono mithili ya mtu asiyeoona 'kipofu' nakuniongoza mpaka jikoni kisha akaufunga mlango kwa ufunguo..
"..haya na hapa ukatae sasa.."
"..Irene, hata hapa sina imani napo..!"
Nilimwambia kiutani huku nikiendelea kumtolea macho..
Alinivamia nakuanza kunipa mabusu kila engo ya mwili wangu huku akilitaja jina langu mara mbili mbili, hapo hapo kidume mie akanipa 'mzuka' wa hali ya juu nakunifanya joto langu la mwili kupanda ghafla..
Sikutaka kumchelewesha kabisa, nilichojoa nguo zangu tayari kwa kumvaa lakini kabla sijamvaa sauti kali ilikuwa ikisikika..,
"..Jeff Jeff mpenzi uko wapi..?"
Ilikuwa ni sauti ya mpenzi wangu Jacky akiniita, nilitamani sana nitoke lakini tayari Irene alikuwa amenikabili katikati ya mapaja yake..
"..hapa Jeff huendi popote mpaka unifanye.."
Aliongea Irene kwa sauti ya chini chini.
Hofu ilizidi kunitanda hasa pale nilipohisi kama Jacky anakuja eneo tuliopo, japo Irene alikuwa kafunga na ufunguo lakini haikusaidia chochote kwangt kujiamini.
"..dada Irene, Irene.."
Kwa muda huu Jacky wangu alikuwa ameshaufikia mlango wa chumbani kwa Irene na alikuwa akibisha hodi.
"..Irene niache nitoke pliz, tutafanya kesho.."
Nilimwambia Irene kwa sauti ya chini chini lakini ndio ikawa kama nimemuamsha hisia zake zilizokuwa zimelala, alitanua mapaja yake vizuri nakuniingizia nanii yangu kisha akaanza kukatikia kwa nguvu huku akitoa miguno ya kimahaba nakunifanya nimfanye naye tu.
Tulijikuta tumejisahau na sex huku tukiwa katikati tena kwa sauti ya juu na ya kimahaba kana kwamba tukasahau kabisa kama Jacky anatutafuta.
Sauti zetu zakimahaba ndizo zilimfanya Jacky aanze kugonga mlango wa jikoni tulipokuwepo.. Utamu wa mapenzi ulitufanya kila mmoja kuisikia ile sauti upande mmoja ikitokea upande mwingine.
"..Irene inatosha bwana.."
"..Jeff we mtamu sana, endelea bwana pliiz.."
Nilimkatalia nakuvaa nguo zangu huku nikiufungua mlango,kwani jikoni pia kuna mlango wakutokea nje kabisa..
Hivyo nikatoka nje nakumuacha Irene mule jikoni.
Nilizunguka mpaka mlango wa kuingilia sebuleni kisha nikabisha hodi kwa nguvu zote..
"..Jacky..? Jacky nifungulie..!"
Jacky akanifungulia mlango huku kashikwa na butwaa.
"..Jeff umetoka wapi sasa hivi, tena usiku wote huu.."
"..anhaa haa Jacky, nilikuwa nje muda wote mbona.."
"..Jeff umeanza utani wako huo enhee..? Sasa huko nje usiku wote jamani..? Haya na dada Irene yuko wapi...?"
"..Sasa unaniuliza mie najua au mke wake..? Kwanini Jacky unapenda kunihisi hisi vibaya..?"
"..jamani Jeff nisamehe mpenzi kama nimekuuzi kukuuliza hivyo.."
"..Nakuona tu, na hii mara ya pili kunihisi vibaya, unakumbuka siku ile nimeamka tu na alama shingoni ukaanza kunihisi vibaya enh..? Sasa leo umeme umekatika nikatoka nje kuzunguka kidogo narudi unaanza vijiswali vyako..."
"..Jeff nisamehe si nimeshakuelewa jamani.."
"..sipendi na sitaki kukusikia tena mpumbavu mkubwa wee.." Nilimkazia macho Jacky nakumsukuma nikaingia mpaka sebuleni nakukaa kwenye kochi, Jacky aliufunga ule mlango wa sebuleni nakuja kukaa karibu yangu..
"..nenda kalale huko ndani peke yako sasa, ushanikera.."
"..Jeff nisamehe jamani, tukalale na tena dada Irene asije akajua kama tunagombana jamani.."
Sikuwa hata na mshipa wa aibu wala nini, japokuwa niliiona kanga ya Irene pale chini sebuleni pamoja na chu** yake.
Niliongoza kwenda kulala huku Jacky akinifuata kwa nyuma nyuma tena kwa uoga mpaka chumbani tukalala.
"..geukia hukoo.."
Nilimfokea Jacky muda wote na hata kitandani tulilala mzungu wa nne hii yote nikumfanya ajue kuwa sina kosa lolote..
Asubuhi sana ilipofika kwenye mida ya saa 1 tayari nilikuwa macho lakini Jacky hakuwepo pale kitandani. Nikajua huenda ameamka kufanya usafi, nikaamka nakumuangalia, sikumuona, nilimuuliza Irene naye akasema alikuwa sebuleni anaangalia tv..
Nikiwa bado namtafuta Jacky mara kwa kupitia dirishani nikamwona Sammy anakuja na Jacky wangu huku wameongozana na polisi..
Mwili ulianza kunitetemeka huku
amani ikinipotea,
"..ahh liwalo na liwe.."
Nilijivisha moyo wa ujasiri ghafla nakujikuta naropoka huku ikiongoza mpaka chumbani  kwangu..
Haikuchukuwa muda nikasikia sauti ya Jacky anabisha hodi, sijakaa sawa nikasikia tena sauti ya Sammy wakiongea na Irene sebuleni,
"..enhe niambie shosti, za tangu juzi..? Ndo kususana..?"
Taaratibu niliusogelea mlango wangu nakunasa maongezi yao vizuri,
"..kwanza Jeff yupo..?"
"..yupo kajaa tele, ila kwa sasa yupo chumbani, Jeff..? Jeff..?"
Aliita Irene kwa sauti ya juu.
Nilikaa kimya huku nikiamini mwisho wangu ndo utakuwa umefika sasa na hivi atakuwa ameongozana na yule polisi niliyomuona, nilijihisi mwili umepigwa ganzi huku nikitamani kutokea dirishani.
Nikiwa bado nasita pale kitandani mara mlango wa chumbani kwangu ukafunguliwa,
"..Jeff Si unaitwa huko sebuleni au hujasikia.."
Aliongea Jacky kwa sauti ya huruma nakunijaza tena msongamano wa mawazo,
"...Jacky mpenzi unajua kiasi gani nakupenda.."
"..yeah najua Jeff kwani vipi tena, na mbona macho yako mekundu
sana..?"
"..hii yote ni upendo juu yako,
embu niambie sebuleni yupo nani na nani..?"
"..sebuleni si yupo dada Irene na Sammy ndio wanaokuita.."
"..na hakuna polisi.."
"..polisi, polisi atokee wapi Jeff embu wacha kunichekesha.."
"..mbona kuna polisi nilimuona mmeongozana naye.."
"...wala hatukuwa naye, yeye alikuwa na mambo yake kwani hata Sammy hamjui.."
Niliuvaa moyo wa kiujasiri nakuongoza mpaka sebuleni huku nikimuacha Jacky wangu akielekea jikoni kupika..,
"..Jeff..? Mambo?" Alinisalimia Sammy.
"..safi tu za tangu juzi Sammy.."
Stori zilizidi kupamba moto, kunakipindi Irene alipigiwa simu
akaondoka nakwenda kuipokelea chumbani kwake hivyo nikabaki
mie na Sammy tukiendeleza stori, aibu kubwa ilinishika kila
nikimwangalia Sammy na nikikumbuka jinsi nilivyomkaripia
kwenye simu kipindi kile hadi nikadhania ni Helleiner..
"..Sammy nikwambie kitu..?"
"..yeah niambie tu Jeff.."
Kwanza nisamehe sana kwa siku ile nilivyokujibu kwenye simu, si Unajua tena akili ya pombe inavyokuwaga..? Yaani siku ile nilipelekwa na Irene hapo 'Ze club' tukanywa sana na tulivyorudi nyumbani ndio
nikaanza kuchezea simu nakujikuta nakupigia simu.."
"..Usijali jeff mbona nilishasahau kabisa.."
Dah hapo kidume mie nikajiona nina bonge la zari, mapigo ya moyo yakatulia sasa..
"..Sammy hivi unakaa wapi vilee.."
"..nipo naishi kihonda mwisho kwani unapajua..?"
"..sijawahi hata kufika ila nilikuwa napasikia tu, mie nataka nikapajue
leo lakini sitaki Jacky wala Irene wajue.."
"ilo tu wala usijali.. Lakini tutatokaje sasa..? Si watatugundua.."
"..hilo niachie mimi nitajua chakufanya.."
Kama kawaida ya Jeff ryder mie sikutaka kabisa kufanya masihara
tena kwa mtoto kama huyu.
Niliondoka zangu kwa kisingizio kuwa nipo natembea tembea
huku Sammy nikimpanga mapema kuwa akifika stendi anishtue kwenye simu..
Alifanya hivyo na ndani ya nusu saa tayari nilikuwa njiani kwenye
daladala huku pembeni yangu nikiwa na Sammy, njia nzima nilikuwa na mzuka wa ajabu huku akili yote nikiiamishia kwa mtoto
Sammy,
"..yaani nikifika tu mbona atajua kunijua.."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikiendelea kumtolea macho ya
kiuchokozi Sammy.
Hapakuwa mbali sana kwani ilituchukuwa kama dakika 15 kufika kihonda, na tulipofika tuliongoza mpaka nyumbani kwake, alikuwa amepanga chumba na sebule ambapo tulipofika tu,
"..haya mgeni karibu, sijui utatumia kinywaji gani..?"
"..Sammy acha utani wako.. Kwanza niambie unaishi na nani..?"
"..wala usihofu Jeff naishi peke yangu mwaya.."
Aliponiambia tu hilo neno akawa kama amenipandisha mzuka zaidi,
"...Sammy, embu sogeza sikio nikunong'oneze kitu.."
Alisogeza masikio yake na hapo hapo ikawa mwanya wa kuanza
kuingiza ulimi wangu kwenye masikio yake,
Ghafla akanitoa kwa nguvu nakuanza kulalamika huku akiniangalia kwa sauti ya kimahaba..
"..Jeff sipendi na sipendi mwanaume yeyote aniingizie ulimi wake masikioni mwangu.."

**** Hatimaye Jeff kaingia kwenye anga za Sammy, unavyodhani Jeff atafanikiwa adhma yake kwa Sammy..
**** Vipi kuhusu Irene na Jacky wakijua..? Nini hatma ya Jeff katika simulizi hii..??

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top