Unknown Unknown Author
Title: NMB MTWARA YASHEREHEKEA MIAKA 10 YA MAFANIKIO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
MKURURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MTWARA AKIKATA KEKI KWA NIABA YA WATEJA WA NMB KWENYE SHEREHE ZA MIAKA 10 YA MAFANIKIO YA NMB....
NMB Mtwara
MKURURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MTWARA AKIKATA KEKI KWA NIABA YA WATEJA WA NMB KWENYE SHEREHE ZA MIAKA 10 YA MAFANIKIO YA NMB.
NMB Mtwara
MKURUGENZI AKIMLISHA KEKI, MENEJA WA KANDA YA KUSINI, LILIAN MWINULA.
NMB Mtwara
BRANCH MANAGER NMB MTWARA-AKIONGEA NA WATEJA WA BENK HIYO KATIKA KUSHEREKEA MIAKA 10 YA MAFANIKIO YA NMB HIYO.
NMB Mtwara
MFANYAKAZI WA BENKI YA NMB TAWI LA MTWARA, AKIMLISHA KEKI MTEJA WA BENKI HIYO KUDHIHIRISHA UPENDO KWA WATEJA WAO.
NMB Mtwara
WATEJA WA NMB BENKI WAKIINGIA NDANI YA BENKI HIYO HUKU WAKIPEWA PIPI KUASHIRIA UPUNDO BAINA YA WATEJA NA WAFANYAKAZI WA BENKI HIYO KATIKA KUAZIMISHA MIAKA 10 MAFANIKIO YA NMB.

About Author

Advertisement

 
Top