
Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Makamu wa Rais Mteule Mama Samia Suluhu Hassan wakiwa na Mwenyekiti wa Chama cha UPDP Taifa Mhe. Fahmi Dovutwa katika chumba cha VIP cha ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam muda mfupi kabla ya kuanza kwa hafla ya kukabidhiwa hati ya Urais na Makamu wa Rais

Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Mwenyekiti wa Chama cha UPDP Taifa Mhe. Fahmi Dovutwa katika chumba cha VIP cha ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam muda mfupi kabla ya kuanza kwa hafla ya kukabidhiwa hati ya Urais na Makamu wa Rais
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Mhe. Anna Mghwira na wagombea wengine wakiwa katika chumba cha VIP cha ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam muda mfupi kabla ya kuanza kwa hafla ya kukabidhiwa hati ya Urais na Makamu wa Rais

Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Makamu wa Rais Mteule Mama Samia Suluhu Hassan wakiwa na wagombea wengine wakielekea ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam tayari kwa hafla ya kukabidhiwa hati ya Urais na Makamu wa Rais

Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Makamu wa Rais Mteule Mama Samia Suluhu Hassan na Mhe Anna Mghwira na wagombea wengine wakielekea ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam tayari kwa hafla ya kukabidhiwa hati ya Urais na Makamu wa Rais

Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Makamu wa Rais Mteule Mama Samia Suluhu Hassan na Mhe Anna Mghwira na wagombea wengine wakielekea ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam tayari kwa hafla ya kukabidhiwa hati ya Urais na Makamu wa Rais

Viongozi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi chini ya Jaji Damia Lubuva wakiwa tayari katika sehemu yao

Meza kuu

Mke wa Rais Mteule Mama Janet Mgufuli akisalimiana na Waziri wakuu wastaafu Mzee John Malecela na Jaji Joseph Sinde Warioba

Mama Janet Magufuli akisalimiana na Mama Salma Kikwete

Rais Kikwete akisalimiana na Mama Janet Magufuli

Mkrugenzi wa Uchaguzi Mhe. Kailima Ramadhani akisoma muhtasari wa ratiba

Meza ya viongozi

Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama

Sehemu ya viongozi wa taasisi mbalimbali na wastaafu

Viongozi wa Taasisi mbalimbali na wananchi waliohudhuria

Viongozi wa Taasisi mbalimbali za umma na binfasi

Viongozi wa asasi mbalimbali za umma na binafsi

Balozi wa China nchini Tanzania Dkt. Lu Youqing akiwa ameketi na wananchi

Sehemu ya wananchi na makada wa CCM

Sehemu ya watumishi wa Tume ya Uchaguzi

Wananchi toka sehemu mbalimbali

Wananchi wakiwa na furaha

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva akisoma hotuba yake

Wananchi wakimsikiliza Jaji Damina Lubuva

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva akisoma hotuba yake

Viongozi wa dini na wananchi wakisikiliza

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva akisoma hotuba yake

Vifijo toka kwa viongozi

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva akisoma hati kabla ya kuikabidhi wa Rais Mteule Dkt John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais Mteule Mhe Samia Suluhu Hassan

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva akisoma hati kabla ya kuikabidhi wa Rais Mteule Dkt John Pombe Magufuli na Makamu wa Rais Mteule Mhe Samia Suluhu Hassan. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi Mhe. Kailima Ramadhani

Wanahabari wa ndani na nje ya nchi wakirekodi tukio hilo la kihistoria

Rais Mteule Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akionesha hati ya Urais akiwa na Makamu wa Rais Mteule Mama Samia Suluhu Hassan, Jaji Damian Lubuva na Mhe Kailima Ramadhani

Viongozi wakishuhudia tukio hilo kwa furaha

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Lubuva akisoma hati ya Makamu wa Rais

Makamu wa Rais Mteule Mhe Samia Suluhu Hassan akipokea hati yake

Makamu wa Rais Mteule Mhe Samia Suluhu Hassan akionesha hati yake

Rais Mteule na Makamu wake mteule wakipongezwa baada ya kukabidhiwa hati
Rais mteule akipongezwa na waliokuwa wagombea wa Urais wa vyama vingine

Rais Mteule Dkt Magufuli akimuonesha Mhe Anna Mghwira cheti cha Urais

Rais Kikwete akimpongeza Rais Mteule

Wakikionesha cheti kwa furaha
"....Huyu ndiye our new boss..." anasema Rais Kikwete

Rais Mteule Dkt John Pombe Magufuli akipita kuonesha cheti chake cha Urais

Rais Mteule Dkt John Pombe Magufuli akipita kuonesha cheti chake cha Urais

Rais Mteule Dkt John Pombe Magufuli akipita kuonesha cheti chake cha Urais

Rais Mteule Dkt John Pombe Magufuli akipita kuonesha cheti chake cha Urais

Rais Mteule Dkt John Pombe Magufuli akipita kuonesha cheti chake cha Urais na kupeana mikono na Rais wa Zamani wa Nigeria Mhe Goodluck Jonathan

Rais Mteule Dkt John Pombe Magufuli akipita kuonesha cheti chake cha Urais

Makamu wa Rais Mteule Mhe Samia Suluhu Hassan akipongezwa

Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Mhe Anna Mghwira akiongea kwa niaba ya wagombea wengine wa vyama mbalimbali walioshiriki kwenye kugombea Urais

Wanahabari

Rais Mteule akimpongeza Mhe Anna Mghwira kwa hotuba nzuri

Rais Mteule Dkt John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi wa tume na vyama vya siasa

















Tags
HABARI ZA KITAIFA

