Unknown Unknown Author
Title: KUKATWA KWA MUMEWE UCHAGUZI MKUU, KWAMPA KIWEWE JOYCE KIRIA...!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Joyce Kiria ‘HOST’ wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria ameonekana kuwewesekea matokeo ya uchaguzi baada ya mumewe aliyekuwa akigo...
Joyce Kiria
Joyce Kiria
‘HOST’ wa Kipindi cha Wanawake Live, Joyce Kiria ameonekana kuwewesekea matokeo ya uchaguzi baada ya mumewe aliyekuwa akigombea Ubunge Jimbo la Mwanga kushindwa. Baada ya matokeo kutangazwa, Joyce alijikuta akiandika waraka mzito kwenye ukurasa wake wa Facebook akieleza jinsi alivyoyapokea matokeo hayo kwa maumivu.

Akizungumza na Ijumaa, Joyce alisema kushindwa si kitu cha ajabu kwani unaangalia umeshindwaje lakini kwa hili la mumewe hakuridhishwa na mchakato.
“Nimeumia sana mume wangu kukosa ubunge lakini najiuliza kwa nini walikuwa wakimkatalia kuhesabu kura kwa mara ya pili? Hivi vitu vinaumiza sana, vikitokea lazima upatwe na kiwewe,” alisema Joyce.

About Author

Advertisement

 
Top