EXCLUSIVE: VIDEO YA KILICHONASWA KWENYE TALAKA YA FLORA MBASHA NA MUMEWE
byUnknown-
0
October 6 2015 waimbaji wa gospel ambao ni wanandoa, Flora Mbasha na mumewe Emmanuel Mbasha walifika Mahakamani kwenye kesi ya madai ya talaka iliyofunguliwa na Flora zaidi ya mwaka mmoja uliopita na maamuzi haya ndio yakatangazwa.