Toka September 27 ilipochezwa mechi ya Azam FC dhidi ya Mbeya City kwenye uwanja wa Azam Complex ambapo mchezaji wa mbeya city Juma Nyoso alimfanyia kitendo cha udhalilishaji nahodha wa Azam FC John Bocco hii imekuwa stori kubwa zaidi kwenye mitandao na imeongelewa na vijana wengi kama kitendo cha kero kwenye soka.
Leo msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ametoa mtazamo wake juu ya issue hii.