Unknown Unknown Author
Title: BAADA YA KUSHINDWA KUMZIKA MWANASIASA HUYU, EDWARD LOWASA LEO AHANI MSIBA WAKE KIJIJINI KWAKE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Lowassa ahani Msiba wa Mwanasiasa Mkongwe nchini, Marehemu Mzee Peter Kisumo, Kijijini kwake Usangi, Mwanga Mkoani Kilimanjaro. Mhe. Edw...
Lowassa ahani Msiba wa Mwanasiasa Mkongwe nchini, Marehemu Mzee Peter Kisumo, Kijijini kwake Usangi, Mwanga Mkoani Kilimanjaro.
Edward Ngoyai LowassaMhe. Edward Ngoyai Lowassa akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Peter Kisumo huko Usangi Kilimanjaro, Peter Kisumo ni mmoja wa Waasisi wa TANU na ccm,Mzee Kisumo alifariki tarehe 3/8/2015, Mungu ailaze roho ya marehemu Peter Kisumo Amen.
Edward Ngoyai Lowassa
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiwasili nyumbani kwa marehemu Peter Kisumo Usangi Kilimanjaro na kukaribishwa na kaka wa marehemu Daniel Mchangila, kwa ajili ya kuhani msiba wa mmoja wa Waasisi wa TANU na ccm baada ya kuzuiliwa kufika msibani, Mzee Kisumo alifariki tarehe 3/8/2015, Mungu ailaze roho ya marehemu Peter Kisumo Amen
Edward Ngoyai Lowassa

About Author

Advertisement

 
Top