Unknown Unknown Author
Title: LIL WAYNE AZUNGUMZIA MKANDA WAKE WA NGONO KAMA UKISAMBAZWA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Rapa Lil Wayne na timu yake ya wanasheria imetishia kuwashtaki watu wanaotangaza mpango wa kuuza na kusambaza mkanda wa ngono ambao inaseme...
Rapa Lil Wayne na timu yake ya wanasheria imetishia kuwashtaki watu wanaotangaza mpango wa kuuza na kusambaza mkanda wa ngono ambao inasemekana rapa huyu anaonekana akiwa na wanawake wawili.
Lil Wayne
Mtu mwenye mkanda huu hajajulikana bado ila amesha wasiliana na makampuni ya kutengeneza mikanda ya ngono nchini Marekani.

Wawakilishi na wasemaji wa Lil Wayne wamesema kama mkanda huu upo basi ulirekodiwa bila Lil Wayne kujua na kwamba hauwezi kutolewa bila ithini yake na lolote litakalotolewa watachukua hatua za kisheria.

About Author

Advertisement

 
Top