Unknown Unknown Author
Title: JE HUU NDIO MWISHO WA NUH MZIWANDA NA SHILOLE A.K.A SHISHI BABY?, AU NDIO KIKI ZA MJINI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Wasanii wa bongo fleva Nuh Mziwanda na Shilole wanaounda umoja wa Shiwanda wamekuwa wakigombana na kupata kila baada ya miezi michache ...
Wasanii wa bongo fleva Nuh Mziwanda na Shilole wanaounda umoja wa Shiwanda wamekuwa wakigombana na kupata kila baada ya miezi michache na hali hii imetokea kuzoeleka na baadhi ya mashabiki wa muziki wao.
Nuh Mziwanda na shilole
September 15 2015 msanii Nuh Mziwanda aliomba watu kupitia instagram kuacha kumuliza kuhusu Shilole na maisha yake, na baadae Nuh alibadilisha status yake na kuweka SINGLE BOY.
Nuh Mziwanda

About Author

Advertisement

 
Top