HILI NDILO JIPYA KUWAHUSU PAM D NA NAY WA MITEGO

Pam D na Nay Wa Mitego
Pam D na Nay Wa Mitego

Nay wa Mitego amesema hana uhusiano na msanii mwenzake ‘Pam D’ kama wengi wanavyosema ila ni marafiki wa karibu sana, naye Pam D asema wasanii hawapendi kuonyesha wazi mahusiano yao mwanzoni kwa kuhofia endapo mahusiano hayo yatavunjika mapema.
Previous Post Next Post