MSANII FANTASIA KAOLEWA NDANI YA BOTI, CHEKI PICHA ZA HARUSI YAKE

Fantasia
Msanii wa rnb Fantasia amefunga ndoa na mchumba wake Kendall Taylor. Fantasia "31" ambaye ni mshindi wa “American Idol” amefunga ndoa kwenye boti lakifahari akiwa na marafiki zake. Mume wa Fantasia ni CEO wa kampuni kubwa ya mizigo.
Fantasia
Fantasia
Fantasia
Previous Post Next Post