ICHEKI HAPA SALOON MPYA YA MKASI TV, NI SHEEEDER..!!

Msimu mpya wa kipindi cha Mkasi utaonekana kwenye salon mpya kabisa.
Mkasi Saloon
Hii ni salon mpya iliyojengwa kwaajili ya kurekodia kipindi cha Mkasi
Mkasi Saloon
Tofauti na salon ya mwanzo iliyotumika kwenye misimu miwili iliyopita, hii inamilikiwa na wao wenyewe.
Mkasi Saloon
Shilole ni miongoni mwa mastaa waliohojiwa kwenye salon hiyo mpya ya Mkasi.
Mkasi Saloon
Msimu mpya wa kipindi cha Mkasi utaanza hivi karibuni.
Previous Post Next Post