CHELSEA YAFANIKIWA KUMNASA KENEDY KINDA HATARI WA BRAZIL

Kenedy
Chelsea imefanikiwa kumnasa mshambuliaji hatari wa Brazil Kenedy aliyekuwa akiwindwa pia na Manchester United. Imeelezwa kuwa Kenedy amefanya vipimo vya afya jana tayari kukamilisha usajili wake wa pauni milioni 6.3. Inaaminika kuwa mashambuliaji huyu mwenye umri wa miaka 19 kutoka klabu ya Fluminense, anaanguka mkataba wa miaka mitano Stamford Bridge.
Kenedy
Kenedy katika moja ya majukumu yake kwenye timu ya taifa ya Brazil
Kenedy
Kenedy akishangilia moja ya magoli yake aliyoifungia klabu ya Fluminense
Chanzo: Saluti5
Previous Post Next Post