WAZIRI LUKUVI AANZA ZIARA YA SIKU MBILI MKOANI LINDI, ASHUHUDIA UTENDAJI WA NHC-LINDI

Ziara ya Lukuvi Lindi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi(wapili kushoto) akipokea taarifa ya Miradi ya Shirika la Nyumba mapema leo mchana, kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Lindi Mwantum Mahiza, Wapili Kulia ni Meneja wa NHC-LINDI NDG Patrick Mussa Kamendu . Waziri lukuvi yupo mkoani lindi kwa ziara ya kikazi kwa muda wa siku mbili.
Ziara ya Lukuvi Lindi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi(Katikati) akiwa sambamba na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mwantum Mahiza (wakwanza kulia) na Meneja wa Shirika la Nyumba Mkoa wa Lindi Ndg: Patrick Mussa Kamendu wakati waziri alipotembelea Eneo litakalojengwa nyumba za gharama nafuu za makazi za Shirika la Nyumba katika eneo la Mitwero, Waziri lukuvi yupo mkoani lindi kwa ziara ya kikazi kwa muda wa siku mbili.
Ziara ya Lukuvi Lindi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi(Kulia) akisisitiza jambo wakati wa alipotembelea Eneo litakalojengwa nyumba za gharama nafuu za makazi za Shirika la Nyumba katika eneo la Mitwero, katikati ni Mkuu wa mkoa wa Lindi Mwantum Mahiza akiwa na Meneja wa NHC-LINDI NDG Patrick Mussa Kamendu. Waziri lukuvi yupo mkoani lindi kwa ziara ya kikazi kwa muda wa siku mbili.
Ziara ya Lukuvi Lindi
Hizi ni baadhi ya Nyumba za mradi wa nyumba za gharama nafuu za makazi za Shirika la Nyumba katika eneo la National Housing, Mkoani Lindi Ambazo Waziri lukuvi amezikagua mapema leo mchana. Waziri lukuvi yupo mkoani lindi kwa ziara ya kikazi kwa muda wa siku mbili.
Ziara ya Lukuvi Lindi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi akikagua mradi wa nyumba za gharama nafuu za makazi za Shirika la Nyumba katika eneo la National Housing, Mkoani Lindi mapema leo mchana. Waziri lukuvi yupo mkoani lindi kwa ziara ya kikazi kwa muda wa siku mbili.
Ziara ya Lukuvi Lindi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akipokea Maelezo kutoka kwa Afisa wa Shirika la nyumba kuhusiana na mradi wa nyumba za gharama nafuu za makazi za Shirika la Nyumba katika eneo la National Housing, Mkoani Lindi mapema leo mchana. Waziri lukuvi yupo mkoani lindi kwa ziara ya kikazi kwa muda wa siku mbili.
Ziara ya Lukuvi Lindi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akikagua Moja ya nyumba za Mradi wa nyumba za gharama nafuu za makazi za Shirika la Nyumba katika eneo la National Housing, Mkoani Lindi mapema leo mchana. Waziri lukuvi yupo mkoani lindi kwa ziara ya kikazi kwa muda wa siku mbili.
Ziara ya Lukuvi Lindi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi akikagua Moja ya Jengo la Shirika la Nyumba lililopo mkoani Lindi ambalo limefanyiwa marekebisho, Waziri lukuvi yupo mkoani lindi kwa ziara ya kikazi kwa muda wa siku mbili.
Ziara ya Lukuvi Lindi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akipongeza Juhudi zilizofanywa na Shirika la Nyumba mkoani Lindi kwa kuweza kuboresha Majengo yake na huku ada zikiongezeka kwa kiasi kidogo hivyo kuwafanya wananchi kuweza kuzimudu. Waziri lukuvi yupo mkoani lindi kwa ziara ya kikazi kwa muda wa siku mbili.
Ziara ya Lukuvi Lindi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akikagua jengo la Mikutano Mali ya Shirika la Nyumba mkoani Lindi. Waziri lukuvi yupo mkoani lindi kwa ziara ya kikazi kwa muda wa siku mbili. 
(Picha zote na Fungwa Kilozo) 
Previous Post Next Post