Manchester united watavaa jezi designed by Adidas kwa msimu wa 2015/2016. Bado hawajatoa picha rasmi kuonyesha jezi hizo lakini picha hii ikimuonyesha Ashley Young amevaa jezi ambazo zinategemewa kuwa ni za msimu ujao. Picha imesambaa sana kwenye mtandao na watu wengi wanasema hizi ndio zitakua jezi mpya za Manchester united. 
Je, umezipenda au hazina mvuto?
Tags
SPORTS NEWS