
Mh. Bernard Membe akiwahutubia wanachama na wakazi wa mkoa wa lindi katika hafla yake ya Kutangaza Nia ya kuwania nafasi ya Ugombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi, Mh. Membe ametangaza nia hiyo mapema leo katika makao makuu ya Chama cha CCM mkoani Lindi, Picha na Fungwa Kilozo

Mke wa Bernard Membe akiwasalimia wanachama na Wakazi wa Mkoa wa Lindi waliojitokeza kusikiliza hutuba ya Mh. Bernard Membe wakati wa kutangaza nia ya kuwania nafasi ya kugombea urais kupitia chama cha Mapinduzi, Hafla iliyofanyika katika Makao makuu ya Mkoa ya chama Hicho, Lindi

Mh. Bernard Membe akilakiwa na kiongozi wa Chama mara Baada ya kumaliza kutoa hutuba yake kwa wanachama na wakazi wa mkoa wa lindi katika hafla yake ya Kutangaza Nia ya kuwania nafasi ya Ugombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi, Mh. Membe ametangaza nia hiyo mapema leo katika makao makuu ya Chama cha CCM mkoani Lindi, Picha na Fungwa Kilozo

Mh. Bernard Membe akiteta jambo na Mkewa wakati wa hafla yake ya Kutangaza Nia ya kuwania nafasi ya Ugombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi, Mh. Membe ametangaza nia hiyo mapema leo katika makao makuu ya Chama cha CCM mkoani Lindi, Picha na Fungwa Kilozo

Mh. Murji (mb) wa Mtwara Mjini akiwasalimia wanachama na wakazi wa mkoa wa lindi katika hafla ya Mh. Membe wakati wa Kutangaza Nia ya kuwania nafasi ya Ugombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi, Mh. Membe ametangaza nia hiyo mapema leo katika makao makuu ya Chama cha CCM mkoani Lindi, Picha na Fungwa Kilozo

Mh. Bernard Membe akisalimiana na Msanii wa Kizazi kipya Pater Msechu ambaye alihudhuria hafla ya Kutangaza Nia ya kuwania nafasi ya Ugombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi, Mh. Membe ametangaza nia hiyo mapema leo katika makao makuu ya Chama cha CCM mkoani Lindi, Picha na Fungwa Kilozo

Mh. Bernard Membe akiwapa mkono wa kwa heri wanachama na wakazi wa mkoa wa lindi walio jitokeza katika hafla yake ya Kutangaza Nia ya kuwania nafasi ya Ugombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi, Mh. Membe ametangaza nia hiyo mapema leo katika makao makuu ya Chama cha CCM mkoani Lindi, Picha na Fungwa Kilozo

Mh. Bernard Membe akiwapa heshima yao wanachama na wakazi wa mkoa wa lindi walio jitokeza katika hafla yake ya Kutangaza Nia ya kuwania nafasi ya Ugombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi, Mh. Membe ametangaza nia hiyo mapema leo katika makao makuu ya Chama cha CCM mkoani Lindi, Picha na Fungwa Kilozo

Mh. Bernard Membe akiwapa mkono wa kwa heri wanachama na wakazi wa mkoa wa lindi walio jitokeza katika hafla yake ya Kutangaza Nia ya kuwania nafasi ya Ugombea Urais wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi, Mh. Membe ametangaza nia hiyo mapema leo katika makao makuu ya Chama cha CCM mkoani Lindi, Picha na Fungwa Kilozo

Moja la Bango lililokuwepo katika viwanja hivyo wakati wa Hutuba ya Mh. Bernard Membe ya Kutangaza nia ya ugombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Mkoani Lindi, Picha na Fungwa Kilozo

Umati wa wanachama wa CCM na wananchi wa Mkoa wa Lindi waliojitokeza katika katika viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa wa Lindi, Picha ya Fungwa Kilozo

Msafara wa Mh. Membe Ukiondoka Katika Viwanja Hivyo mara baada ya Hafla hiyo kumalizika
Tags
HABARI ZA KITAIFA