PAPAA MUSOFE AFUTIWA KESI YA MAUAJI

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imemfutia kesi ya mauji iliyokuwa ikimkabili mfanyabishara maarufu nchini Marijan Abubakar maarufu kama 'Papaa Msofe' na kumfungulia kesi
ya kugushi nyaraka baada ya kupokea taarifa kutoka kwa MKurugenzi wa Mashitaka (DPP), Biswalo Mganga leo kuwa hana nia ya kuendelea kumshitaki tena.
Papaa Msofe
Papaa Msofe akiwa mahakamani. (Picha kutoka maktaba)

Kwa mujibu wa Kifungu cha 91(1) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai ya mwaka 2002, inampa mamlaka DPP kuifuata kesi ya jinai bila kuhojiwa na mtu yeyote wala mamlaka yoyote ile.
Previous Post Next Post