
Rais Kikwete na Waziri Membe (mwenye tai)
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe amekanusha uvumi ambao umekuwa ukienezwa kuwa yeye Rais Jakaya Kikwete ni ndugu wa damu.
Membe amesema kuwa japo wanafanana kwa sura lakini hawana uhusiano wowote wa kibaiolojia.
Mhe. Membe amekanusha uvumi huo juzi Mjini Dodoma wakati akichukua fomu za kuwania urais kwa tiketi ya CCM.
Tags
HABARI ZA KITAIFA