HUU NDIO UJUMBE WA CECH MARA BAADA YA KUTAMBULISHWA RASMI KATIKA CLUB YA ARSENAL

Golikipa wa Czech Republic alifaulu vipimo vya afya siku ya Ijumaa asubuhi na Leo rasmi ametambulishwa kuwa mchezaji mpya wa Arsenal.
PETR Cech
Cech amesaini mkataba wa miaka minne na Arsenal, na atakuwa analipwa kiasi cha £100,000 kwa wiki, na anaweza kuanza kuichezea Arsenal vs Chelsea katika mchezo wa ngao ya hisani.

Muda mfupi baada ya kutambulishwa na Arsenal, Cech alitumia mtandao wa Twitter kuwaandikia ujumbe maalum kwa washabiki wa Chelsea na kuwaaga.

UJUMBE ALIOPOST PETR CECH
Previous Post Next Post